Wafanyakazi 635 Tanzanite one kupunguzwa kazi

Meneja wa uchimbaji wa kampuni Tanzanite One, Apolinary Modest

Wafanyakazi 635 wa Mgodi wa Tanzanite One wanaofanyakazi katika machimbo ya Tanzanite Mererani Simanjiro wanatarajiwa kupunguzwa kazi kutokana na hali ya uzalishaji ya kampuni hiyo kuzorota.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS