Rais Dkt.Magufuli akutana na Spika wa Burundi
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na spika wa seneti na mjumbe maalum wa Rais wa jamhuri ya Burundi mhe. Reverien Ndikuriyo ikulu jijini Dar es salaam.