Ivo afunga usajili Azam FC, Majwega rasmi Simba SC
Uongozi wa Klabu ya Azam FC umesema usajili wa mlinda mlango Ivo Mapunda ni wa pekee hivyo hawatasajili tena mchezaji mwingine katika dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufungwa Desemba 15 mwaka huu.