Watu 3 wauawa na wananchi wenye hasira kali Mbeya

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Ahmed Msangi amewataka wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi, badala yake wawafikishe katika mamlaka husika watu wanaowakamata ili sheria ichukue mkondo wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS