Watoa vibali biashara ya mahindi wapewa onyo
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, amewaagiza maofisa wanaotoa vibali vya kusafirisha au kuingiza mahindi nchini katika mpaka wa Silali waache mara moja tabia ya ukiritimba kuwahangaisha wafanyabiashara wa mahindi.