Mitaji na Elimu changamoto za kibiashara Kigoma
Ukosefu wa mitaji na elimu za Kibiashara unasababisha wafanyabishara mkoani Kigoma ,kushindwa kutumia fursa za kibiashara zilizopo kutokana na kupakana na nchi za Congo DRC, na Burundi ambazo zinategemea mahitaji mengi ya bidhaa kutoka nchini.
