Kimbweta
Wanafunzi hawa kutoka pale Fanaka memorial anasema mzazi anaweza akamuhamisha mtoto shule kutoka shule yenye maendeleo na kumpeleka shule itakayomshusha kitaalima
Q and A
Kama alianza kupata hivi ila mwisho wa siku akakuna kidevu baada ya kukosa swali
Tokelezea
Wanafunzi wa Fanaka Memorial sec. school wakionesha hii 'staili' ya kutokelezeaaa.
