Harusi Trade Fair

Harusi Trade Fair ni maonyesho makubwa ya harusi nchini Tanzania na East Africa Mashariki. Maonyesho haya hufanyika kila mwaka na huandaliwa na 361 Degree Agency.

Dhumuni kubwa ya maonyesho haya ni kuwaleta pamoja wadau mbalimbali wanouza na wanaotafuta mavazi ya harusi na vitu vingine vinavyo tengeneza harusi kwa ujumla.Maonyesho haya yamefanya kwa muda wa miaka minne sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS