5SELEKT 11-01-2016
Leo kwenye 5Selekt tutapiga stori kibao na Mzee Majuto sasa fanya kama unatazama show leo bila kukosa. Unajua hii ndiyo itakuwa interview yake ya kwanza hapa EATV kwa mwaka 2016? Basi ni 5Selekt saa 10:00 jioni hadi saa 12:00 jioni. Usikose.
