Simba yapangua ratiba ya kombe la Mapinduzi Simba imefanikiwa kupangua ratiba ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza Januari 1, 2016 Zanzibar baada ya timu hiyo kukabiliwa na mchezo wa kiporo wa Ligi ya soka Tanzania Bara. Read more about Simba yapangua ratiba ya kombe la Mapinduzi