Cosmas cheka adundwa na Mrusi kuwania Ubingwa IBF Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Cosmas Cheka amejikuta akidundwa na Mrusi Vyancheslav Guessev katika pambano la kuwania ubingwa wa International Super Featherweight IBF la uzani wa Kilo 59. Read more about Cosmas cheka adundwa na Mrusi kuwania Ubingwa IBF