Dkt. Shein azindua sherehe za mapinduzi kwa Usafi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein amezindua sherehe za miaka 52 ya mapinduzi huku akisisitiza mapinduzi hayo yalikuwa ya lazima kwa ndio ilikua njia pekee ya kuwakomboa Wazanzibar.