Sensei Ringo acheleweshwa program ya Karate

Mwalimu wa mchezo wa Karate Tanzania Sensei Willy Ringo, amesema kuchelewa kufanyika uchaguzi wa viongozi wapya wa chama cha karate Tanzania kunakwamisha juhudi zake za kueneza mchezo huo mashuleni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS