Mweyekiti wa bodi yaTumbaku nchini Said Nkumba akizungumza na Waandishi wa Habari.
Bodi ya Tumbaku nchini imevifuta vyama vyote vya wakulima binafsi vya tumbaku kwa madai kuwa vimekuwa vikisababisha kuwadidimiza wakulima walioko katika vyama vya ushirika