Portland Timbers bingwa wa ligi kuu MLS

Klabu ya Portland Timbers imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Marekani MLS kwa mara ya kwanza tangu ijiunge na ligi hiyo mwaka 2011 baada ya kuichapa Columbus Crew bao 2-1 kwenye mechi ya fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS