Watakaokiuka agizo la rais kushtakiwa Mkoani Mara

Mkuu wa mkoa wa Mara Kapteni Mstaafu wa jeshi la wananchi Aseri Msangi

Serikali mkoani mara imeagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali zikiwemo za kisheria mtu ama kikundi cha watu ambacho kitabinika kukwamisha oparesheni ya usafi wa mazingira kama ilivyotangazwa na Rais Dkt. John Magufuli

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS