Walaji nyama pori watahadharishwa na magonjwa

Mtafiti Mkuu Mwandamizi wa taasisi ya wanyamapori ya TAWIRI ,Dr.Ernest Mjingo.

Walaji wa nyama pori wametakiwa kuwa makini na matumizi ya nyama hizo ili kuepuka magonjwa yanayoambukiza kutoka kwa wanyama pori kwenda kwa binadamu ikiwemo ebola, kimeta, brusela ambayo inaathiri maisha ya binadamu na hata kusababisha vifo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS