TFDA yakamata bidhaa bandia za thamani ya mil 1.2 Baadhi ya bidhaa bandia picha na maktaba Mamlaka ya chakula na dawa TFDA kanda ya kati imezikamata na kuteketeza shehena ya bidhaa bandia na zilizokwisha muda wake wilayani Kilosa mkoani Morogoro Read more about TFDA yakamata bidhaa bandia za thamani ya mil 1.2