"Hapa kazi tu" Maafisa Mpanda wasimamishwa kazi

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt Ibrahim Msengi

Serikali ya mkoa wa Katavi imemsimamisha kazi mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mpanda na maafisa wengine wa Halmshauri hiyo ili kupisha uchunguzi dhidi ya ubadhirifu wa miradi mbalimbali ya wilaya hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS