Pistorius afika mahakamani leo Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amefika mahakamani hii leo kuomba dhamana baada ya jaji kubadilisha hukumu yake ya kuuwa bila ya kukusudia na kuwa kesi ya mauaji ya kukusudia wiki iliyopita. Read more about Pistorius afika mahakamani leo