Double M Plus kuibuka kutoka Chimbo
Band ya Muziki wa Dansi toka nchini inayoongozwa na Mkongwe Prince Muumini Mwinjuma ya Double M Plus wako mbioni kurejea nchini kuanza ziara za kimuziki ikiwa ni pamoja na kurekodi nyimbo zao baada ya kuweka kambi nchi msumbiji kwa muda mrefu.