Watuhumiwa TANESCO Kagera wabadilishiwa kesi

Kesi ya upotevu wa shilingi bilioni 1 na milioni 75 inayowakabili waliokuwa watumishi wa shirika la ugavi wa umeme nchini TANESCO, Wilayani Karagwe mkoani Kagera na wafanyakazi wawili wa CHIKO imebadilishwa na kuwa ya uhujumu uchumi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS