Watumishi 9 wasimamishwa kazi Kilimanjaro
Halmashauri ya wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro imewasimamisha kazi watumishi tisa kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo zaidi ya shilingi milioni 515 katika kipindi cha mwezi July 2014 hadi June 2015.