Timu tisa kushiriki mashindano ya Taifa ya Basebal

Katibu Mkuu Chama cha Baseball Tanzania (TABSA) Alpherio Nchimbi (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya mashindano ya Kitaifa ya mchezo wa huo.

Jumla ya timu tisa kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini zinatarajiwa kushiriki kwenye mashindano ya Taifa ya Baseball yanayoanza kutimua vumbi kuanzia desemba 11-13 jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS