Serikali yaanza kuchukua hatua kushuka kwa Elimu
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi imeanza kuchukua hatua kukabiliana na changamoto ambazo zimekuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa kiwango cha ufaulu na kuporomoka kwa elimu kwa shule za msingi.
