Azam yajiimarisha, Agrey aendelea na vipimo Timu ya Azam FC imesema imejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar ili kuweza kujiweka katika nafasi nzuri ya kuweza kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about Azam yajiimarisha, Agrey aendelea na vipimo