Haina haja ya wasanii kupeana nafasi - Ben Pol
Kutokana na kutoka kwa rekodi za wasanii kwa wingi zaidi katika kipindi hiki, Ben Pol ameweka wazi mtazamo wake kuwa kiushindani ni sawa kabisa kwa wasanii kufanya hivyo bila kupeana nafasi, ili mwisho wa siku kupata rekodi kali itakayoweza ku 'hit'.