Tenisi ya walemavu Tanzania Kwenda Afrika Kusini
Timu ya Taifa ya Tanzania mchezo wa tenisi kwa walemavu inatarajiwa kuondoka nchini Desemba 13 mwaka huu kuelekea nchini Afrika Kusini kwenye mashindano ya BMP Parabous ikiwa ni ya kusaka pointi ili kujiimarisha kwenye viwango vya ubora wa dunia.