TFDA Arusha yateketeza vipodozi vyenye sumu
Mamlaka ya dawa na chakula kanda ya kaskazini imeteketeza vipodozi vilivyopigwa marufuku kuingia nchini vyenye thamani ya shilingi milioni 34 na laki tisa baada ya kuvikamata katika mpaka wa Namanga mkaoni Arusha.