Rollball kushiriki mashindano ya dunia India Kikosi cha timu ya taifa ya mchezo wa Rollball kinatarajiwa kuondoka Desemba 14 mwaka huu kwenda nchini India kushiriki michuano ya dunia inayotarajiwa kufanyika Desemba 17 mwaka huu. Read more about Rollball kushiriki mashindano ya dunia India