CUF wakanusha uzushi kifo cha Maalim Seif

Mkurugezi wa Habari na Mawasiliano CUF Bw. Ismail Jusa Ladhu

Chama cha siasa cha Wananchi (CUF) kimekanusha taarifa zilizoenezwa mitandaoni kuhusiana na madai kuwa Mwenyekiti wake Maalim Seif Sharif Hamad amefariki dunia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS