Rais wa Chama cha Waendesha Baiskeli Tanzania, Godfrey Jacks Muhagama,akiwa miongoni mwa waendesha baiskeli kwenye mashindano jijini Mbeya.
Chama cha Baiskeli Tanzania kimesema kimejipanga kuhakikisha kinashiriki mashindano ya ubingwa wa Afrika yaliyopangwa kufanyika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mapema mwezi Februari mwaka 2016.