CUF wakanusha uzushi kifo cha Maalim Seif Mkurugezi wa Habari na Mawasiliano CUF Bw. Ismail Jusa Ladhu Chama cha siasa cha Wananchi (CUF) kimekanusha taarifa zilizoenezwa mitandaoni kuhusiana na madai kuwa Mwenyekiti wake Maalim Seif Sharif Hamad amefariki dunia. Read more about CUF wakanusha uzushi kifo cha Maalim Seif