Fainali soka la vijana Ilala kupigwa Jumapili hii.
Mchezo wa fainali wa michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 15 manispaa ya Ilala unatarajiwa kupigwa Desemba 13 kwenye uwanja wa Ukonga Magereza jijini Dar es salaam ukizikutanisha klabu za New Talents ya Tabata na Kisanga FC ya Kisarawe.