5Selekt Leo kwenye 5Selekt tutakuwepo na Banana Zoro atafunguka mengi sana kuhusu maisha yake ya muziki pia kuhusu maisha yake kama Baba wa familia kwa sasa,usikose ni saa 10:00 jioni kwenye 5Selekt.Submitted by Dickson on Friday , 8th Jan , 2016 Read more about 5Selekt