Wasanii watekeleza agizo la Rais na ujumbe
Katika kuadhimisha siku ya Uhuru wa Tanzania bara, wasanii chini ya mwamvuli wa mtandao wa wasanii Tanzania SHIWATA, wameshiriki katika zoezi la kufanya usafi siku ya leo kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.