Mbeya City yabakiza mmoja kukamilisha usajili Klabu ya Mbeya City FC imekamilisha usajili wa wachezaji wanne wapya, wakiwemo mabeki wa kati Tumba Sued Lui na Deo Julius ‘Msafa' na washambuliaji Abdallah Juma na Ditram Nchimbi. Read more about Mbeya City yabakiza mmoja kukamilisha usajili