Nane wafariki kwenye ajali ya gari Tabora

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Suleiman Issa

Watu nane wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Allys walilokuwa wakisafiria kupinduka katika kijiji cha vumilia Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS