Riadha Dar es salaam kusaka vipaji kila mwezi

Katika kuhakikisha wanaendelea kukuza mchezo wa riadha,Chama cha Riadha Mkoa wa Dar es salaam kimesema kinatarajia kuanzasha mashindano ya kila mwezi yatakayokuwa yakishirikisha vilabu vya Mkoa ili kupata timu zitakazoshiriki mashindano mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS