Polisi Njombe inawashikilia wahamiaji haramu 29 Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Wilbroad Mtafungwa JESHI la polisi mkoani Njombe linawashililia Wahabeshi 29 kutoka Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kibali pamoja na madereva wao 3 raia wa kitanzania maeneo ya Makambako mkoani humo. Read more about Polisi Njombe inawashikilia wahamiaji haramu 29