TRA watakiwa kufungua ofisi Njombe

Mkuu wa mkoa wa Njombe Dr. Rehema Nchimbi.

Mamalaka ya mapato Tanzania imetakiwa kufungua ofisi yake mkoa wa Njombe ili kurahisisha huduma kwa jamii na kuepusha usumbufu wa kuzifuata huduma hizo mikoa ya Iringa, Mbeya na Ruvuma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS