Michuano ya kombe la FA kuendelea kutimua vumbi

Raisi wa shirikisho la soka nchini TFF Jamali Malinzi akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kusaini mkataba na wadhamini wa mashindano ya kombe la FA.

Michezo ya mzunguko wa pili wa Kombe la Shirikisho inaendelea leo katika viwanja vitatu tofauti, huku kila timu ikisaka ushindi na kuweza kusonga katika hatua inayofuata itakayochezwa mwakani Januari, 2016 na bingwa kuwakilisha nchi mwaka 2017 katika

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS