Pauline Zongo amfagilia waziri Nape Nnauye
Pauline Zongo, msanii mkongwe katika sanaa ya muziki hapa Bongo akiwa anaielewa gemu kwa undani amesema kuwa nafasi ya Waziri Nape Nnauye katika Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni changamoto, akiwa na imani katika utendaji wake.