Mabasi ya Mwendokasi kuanza Jan 10 : Majaliwa
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART) na wadau wote kuhakikisha kuwa mradi huo unaanza kufanya kazi ifikapo Januari 10, 2016 kama walivyokubaliana kwenye kikao cha Novemba 27, 2015.