Lamar Odom aanza kutembea Mchezaji mpira wa Kikapu wa NBA Lamar Odom ambaye pia alikuwa mume wa mwanamitindo Khloe Kardashian, anaendelea kuimarika afya yake baada ya matibabu ya muda mrefu anayoendelea kupata. Read more about Lamar Odom aanza kutembea