Wingi wa mipaka kikwazo udhibiti wa silaha: Polisi Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema kumekuwa na udhibiti hafifu wa silaha katika mipaka ya nchi hali inayochangia kwa kiasi kikubwa kuzagaa kwa silaha kutokana na kuwa na mipaka mingi nchini. Read more about Wingi wa mipaka kikwazo udhibiti wa silaha: Polisi