Inspekta Haroun 'Babu' aenda kufanya kweli Sauzi
Nyota wa muziki Inspekta Haroun 'Babu' ambaye yupo katika game ya muziki kwa muda sasa, amekuwa ni kati ya wasanii ambao wameamua kwenda sawa na kasi ya mabadiliko katika game ya muziki haswa katika kizazi hiki cha sasa.