Mahakama kutumia bilioni 12.3 kujenga mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman amesema kuwa mahakama itatumia fedha walizopewa na serikali jumla ya shillingi billioni 12.3 kuboresha majengo ya mahakama ikiwa ni pamoja kuboresha makahama pamoja na kujenga mahakama za mwanzo

