Ajetovic kumfuata Cheka Februari 24 mwaka huu
Bingwa wa ngumi kutokea Bara la Ulaya,Geard Ajetovic ambaye ni raia wa Uingereza anatarajiwa kuwasili nchini Februari 24 mchana kwa ajili ya maandalizi ya pambano la kuwania ubingwa wa mabara wa WBF dhidi ya bondia namba moja nchini, Francis Cheka.

