Mido atemwa Zamalek baada ya siku 37 Klabu ya Zamalek ya nchini Misri imemtimua kocha wake Ahmed Hossam Hussein maarufu kwa jina la Mido kutokana na mwenendo mbovu wa klabu hiyo. Read more about Mido atemwa Zamalek baada ya siku 37